Kariakoo jijini Dar hapaishi vijimambo. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, January 23, 2013

Kariakoo jijini Dar hapaishi vijimambo.

Pamoja na kuwepo kwa msongamano mkubwa wa magari kwenye eneo la Kariakoo kiasi cha watu kuona shida kutembea wakiwa na mizigo lakini hali ni tofauti kabisa kwa wasukuma mikokoteni hubeba mizigo mikubwa bila kuohofu usumbufu wa magari na msongamano wa watu pichani msukuma mkokoteni kwenye Mtaa wa Msimbazi Kariakoo.
Msukuma Mkokoteni huyu akipita kwenye Mtaa wa Msimbazi Kariakoo huku akiwa na shehena ya madumu matupu.
Mtaro wa maji taka kwenye eneo la Kituo cha mabasi yanayoelekea Sinza Mtaa wa Msimbazi ukiwa wazi bila ya mifuniko.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here