Mkuu
wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja (kushoto) akisalimiana
na wakuu wa magereza ya Mkoa wa Dodoma kabla ya kuzungumza nao katika ofisi za
Mkuu wa Magereza mkoa huo.
Mkuu
wa Gereza la Kondoa, mkoani Dodoma Rished Omari Kajiru akitoa taarifa ya gereza
lake kwa Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja.
Mkuu
wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja akiandika changamoto
mbalimbali za magereza ya Mkoa wa Dodoma.
![]() |
Mkuu
wa Magereza Mkoa wa Dodoma, SACP Kibana Kamtande akimuonyesha Mkuu wa Jeshi la
Magereza, CGP John Minja bwalo linaloendelea kujengwa la Gereza la Isanga
lililopo mjini Dodoma. Kulia (aliyevaa kiraia) ni Mhasibu Mkuu wa Jeshi la
Magereza, Estomiah Hamis.
No comments:
Post a Comment