MUHIMBILI KUPIMA WASIOUMWA KILA JUMAMOSI - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, August 17, 2010

MUHIMBILI KUPIMA WASIOUMWA KILA JUMAMOSI

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Rosina Lipyoga, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanzisha huduma ya kufanya uchunguzi wa mwili mzima kwa pamoja kwa mtu yeyote hatakama hauumwi ili kupunguza idadi ya wagonjwa hospitalini jijini Dar es Salaam,kushoto Mkurugenzi wa uuguzi Salome Mayenga. Picha na Said Powa

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here