GARI LA STAR TV LAGONGWA NA LORY LIKIWA LIMEEGESHWA DEREVA WAKE ALIKUWA AMELALA AKISUBIRI WAANDISHI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, May 31, 2012

GARI LA STAR TV LAGONGWA NA LORY LIKIWA LIMEEGESHWA DEREVA WAKE ALIKUWA AMELALA AKISUBIRI WAANDISHI.


  Gari ndogo ya kampuni ya Sahara Communications ambayo ilikua imeegeshwa mbele ya maduka eneo la Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam, baada ya kichwa cha Roli kushindwa kupanda mlima na kurudi nyuma na kuligonga gari hilo eneo la ubavuni, hata hivyo hamna mtu aliyejeruhiwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here