Walioumia pia walikuwepo ingawa ilikua furaha, inawezekana afya nayo maana safari ilikua ni ndef na wengine bila kujali afya zao waliingia kundini kwa furaha. |
Duh Yaani hadi Lugha ya Kiarabu ilitumika kufikisha Ujumbe "KUN FAYA KUN" Maanayake Kuwa na Inakuwa hivyo, Yani Mungu akisema Kuwa basi limekuwa jambo lilelile alilokusudua kuwa.
Nasisi tumoooooooooooooo
Mnyika akiwa Jimboni kwake punde baada ya kuwasili.
Safari hatua Ila tutafika Tuuuuuu Chadeeeemaaaaaaaaaaaaaa Vemaaaaaaaaaaa.
Hapa Mbunge huyo akiwa na wafuasi wake waliomuunga Mkono Tangu Mahakama Kuu mpaka Jimboni.
Askari wa Kikosi cha FFU wakifuatilia kila hatua ya maandamano yasiyo rasmi yaliyofanywa na wafuasi wa Chadema baada ya Mbunge wa Chama hicho kuibuka mshindi kwenye kesi ya kupinga matokeo ya jimbo hilo.
'Mpaka tujue mnaishia wapi'
Hapa wafuasi mzuka umepanda!
Mitaa yote hadi Ubungo ndivyo walivyokua wakisikika wakiimba.
Nguvu ya Wazee wa kazi iliongezwa kwa usalama zaidi.
Wapo walioumia kwa kuanguka.
Presha zikazidi "Labda mazoezi hajafanya! Hapana imempushi pikipiki! A a a ameanguka, basi kila mmoja alisema lakwake lakini kiukweli jamaa alidondoka na kuishiwa nguvu.
Ushabiki ni ulevi banaaaaaaaaa
Hamsikiiiiiii! Piteni Pembeni tutalianzisha! Ohooooooooo!
Askari hawa sikama walikua wakizuia maandamano hapana hapa wakiwaamrisha waandamanaji kupita pembeni ya barabara ili watumiaji wengine wa barabara wasikwazike na tukio hilo.
No comments:
Post a Comment