KUTOKANA NA AJALI YA KUZAMA KWA BOTI YA MV SKAGIT WAZIRI AJIUZULU ZANZIBAR - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, July 23, 2012

KUTOKANA NA AJALI YA KUZAMA KWA BOTI YA MV SKAGIT WAZIRI AJIUZULU ZANZIBAR

Waziri wa Miundmbinu na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (CUF) Hamad Masoud, amejiuzulu kufuatia ajali ya boti ya MV Skagit, iliyotokea zanzibar hivi karibuni na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ameridhiakujiuzulu kwa Waziri huyo na amemteua Rashid Seif Selemani (Ziwani CUF) kushika nafasi hiyo. Huku makamo wapili wa Rais wa Serikali hiyo Balozi Seif Ally Iddi akisema uamuzi wakujiuzulu Hamad ni wake binafsi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here