Anusurika kifo baada ya
gari lake kupinduka akikwepa basi.
Wakazi wa Dodoma wakiliangalia gari la mtu mmoja
ambae halikupatikana jinalake maramoja baada ya kunusurika kifo baada ya gari lake lenye
namba za usajili T928 BQD kupinduka baada ya kulikwepa basi la Shabiby jirani
na Ukumbi wa Bunge, Manispaa ya Dodoma leo asubuhi . Picha na Mdau
..Abdulaziz,Dodoma
Gari likiwa limegeka chini juu. |