Fainali ya Redds Miss Ilala
September 7, Wareishi, mbo watambulishwa
rasmi mbele ya waand.
Mratibu wa Shindano la Redds Miss Ilala 2012 Gadner G Habash wapili kushoto akizungumza na waandishi wa Habari kutambulisha warembo watakaoshiriki kwenye fainali ya Redds Miss Ilala na washindi watafanikiwa kuingia moja kwa moja kwenye fainali ya Redds Miss Tanzania, Kulia ni mmoja wa waratibu wa shindano hili Juma Mabakila.Cylivia Mashuda na Neema Mbula ambao ni walimu wa warembo hao.jumla ya warembo kumi na tano watashiriki kwenye kinyang.
Warembo wanao wania taji la Redds Miss Ilala wakitambulishwa mbele ya waandishi wahabari jijini Dar es Salaam, ambapo mratibu wa shindano hilo Gadna G Habashi alisema fainali za shindano hilo zitafanyika Septemba 7, mwaka huu.
|