Watakao wania mkanda wa IBF watambulishwa mbele
ya waandishi
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akitunishiana
misuli na Sako Mwaisege 'Dunga wakati wa utambulisho wa mpambano wao mbele ya
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Kitwe General Traders, Lucas
Rutainirwa (katikati ) akiwa ameshika mkanda wa ubingwa wa IBF Africa
atakaepewa bondia atakaeshinda katika mpambano huo kushoto ni Sande Kizito wa
Uganda na Ramadhani Shauri wa Tanzania (kulia).Picha zote na Super D Boxing Coach.