Jumuiya ya Kiislamu ya
watanzania waishio Marekani (DMV) wafutarisha na kuwaombea dua walio mbele ya
haki.
Waumuni wakiwa kwenye kisoma pamoja na futari ilifanyika katika
ukumbi wa Hillandale Local Park New Hampshire Avenue, Silver Spring
Maryland juzi.
Waumini
wakiwa katika futari iliyoandaliwa na jumuia ya Kiislamu Tanzanian
Muslim Community, katika ukumbi wa Hillandale Local Park, New Hampshire
Avenue, Silver Spring Maryland nchini Marekani.
Bwana Omar kutoka State ya Philadelphia alimazia kwa kuwakumbusha
waumini wa jumaia, umuhimu wa Dini ya Kiislam katika Mwenzi huu Mtukufu
wa Ramadhani.