Afrika Lyon yaleta Kocha Muarjentina. Atambulishwa rasmi kwa waandishi wa habari jijini Dar es
Salaam.
Kocha Mpya wa timu ya Soka ya African Lyon Pablo Velez akijitambulish kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaa jana,kushoto ni Mmiliki wa timu hiyo Rahim Kangezi na Mkurugenzi wa Ufundi Charles Otieno. |