TIGO YATOA ZAWADI ZA SIKUKUU KWA YATIMA, YATOA OFA YA KULIPIA UMEME KITUO CHA YATIMA MWAKA MZIMA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, August 17, 2012

TIGO YATOA ZAWADI ZA SIKUKUU KWA YATIMA, YATOA OFA YA KULIPIA UMEME KITUO CHA YATIMA MWAKA MZIMA.

 Afisaa Habari wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Alice Maro, akimbeba mtoto Hassan Amiri wa kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA Cha Sinza Dar salaam ilikuweka umeme kwenye mita baada ya kanpuni hiyo kudhamini kulipia umeme kituo hicho kwa mwaka mzima, kushoto ni Afisa Mahusiano ya jamii wa tigo Woinde Shisael.
 Mbali na Udhamini huo tigo ilitoa zawadi ya sikukuu kwa kuwapa bidhaa mbalimbali vikiwemo vyakula kwenye vituo viwili vya  yatima Istiqama na Chakuwama vyote vya Sinza jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa kituo cha yatima cha Istiqama Zaida Nuru (kushoto) akipokea zawadi za sikukuu kwa niaba ya watoto wa kituo chake kutoka kwa Afisa mahusiano na jamii wa Tigo Woinde Shisahel, katikati ni afisa habari wa kampuni hiyo Alice Maro.
Ktibu Msaidizi wa kituo cha CHAKUWAMA Ally Said, akipokea msaada wa tigo kwaajili ya sikukuu ya watoto wa kituo chake.

Post Top Ad

Responsive Ads Here