Mwimbaji
Mkongwe wa Bendi ya Msondo Ngoma Muhidin Maalim Gurumo (kushoto) akiimba
sambamba na Hassani Moshi 'Tx Jr' wakati bendi hiyo ilipotumbuiza kwenye ukumbi
wa Max Bar Ilala Bungoni, jijini Dar es Salaam.
Gurumo ni mwanamziki Mkongwe pekee aliyedumu katika Jukwaa kwa mda mrefu
nchini ambapo hivi karibuni alikuwa akisumbuliwa na Maradhi lakini kwa sasa
karudi ulingoni kukonga mashabiki wa bendi hiyo, kulia ni
Muhidin Maalim Gurumo na Hassan Moshi (TX JR,)

No comments:
Post a Comment