Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete,(katika) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, ( kushoto) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Willson Mkama,(kulia)
wakifurahia jambo wakati Mwenyekiti allipokuwa akiendesha Kikao cha siku
moja cha Kamati Kuu kilichofanyika leo katika ukumbi wa White
House, Dodoma.
House, Dodoma.
| Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein. |

No comments:
Post a Comment