Chuo Kikuu huria
chajadili umasikini Tanzania.
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania
Frederick Sumaye, akihutubia kwenye
muhadhara wa kujadili changamoto za umasikini ulioandaliwa na Chuo Kikuu
Huria Cha Tanzania jana Muhadhara umeenda sambamba na maadhimisho ya miaka 20
ya chuo hicho.
Baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho
wakiwa katika muhadhara huo wa kujadil changamoto za umasikini.
|
Makamu Mkuu wa chuo hicho Prof.
Tolly Mbwete, akizungumza na waandishi
wa habari mara baada ya kumalizika kwa muhadhara huo.
|

No comments:
Post a Comment