Isumaili Ahamd almaarufu kwa jina la Zimbwe akiwa kazini kutoa mafunzo ya mpira wa netiboli kwa wasichana aliowakusanya kwenye kitongoji cha taifa Wilayani kilwa na kuunda timu ijulikanayo timu ya netiboli taifa. Kwasasa ndiyo timu pekee ya mchezo huo wilaya nzima ya kilwa ukiondoa timu za wanafunzi walipo mashuleni.
Zimbwe akifuata mpira juu kwenye kazi yake hiyo yakujitolea ingawa hana mafunzo ya ukocha amekua kama mdhamini na mkufunzi wa timu hiyo ambayo imewahi hata kuwakilisha Wilaya hiyo na kupata zawadi kwa kushinda kwenye micheo yake. Kati ya michezo minane iliyocheza imeshinda michezo mitano.
Hali ya michezo kwenye halmashauri hiyo ni mbaya imetupwa kabisa, jengo linaloonekana ni miongoni mwa majengo yaliyokuwa yakizinguka uwanja pekee wa taifa uliopo wilayani hapo lakini kwasasa majengo hayo yamekua vichaka vya wavuta bangi tu hku halmashauri ikishindwa kuchukua hatu yeyote.
Hiki ndicho kiwanja cha netiboli kikiwa kimezingukwa na vichaka hakuna usafi kwakifupi kimetupwa kabisa kanakwamba ni nchi ya kusadikika.
Huu uwanja webnyewe wanauita uwanja wtaifa kwa sasa vijana wakazi wa mji wa Masoko ambapo ndipo makao makuu ya wilaya ya Kilwa wakijikusanya kufanya mazoezi bila hata ya usimamizi wala walimu na hakuna timu yeyote ya mpira wa miguu ambayo inafanya mazoezi kama timu zaidi yakukusanyana uwanjani hapo vijana wote hata hivyo hawatimii uwanjani.
Kwa hali hii wanaosimamia idara ya utamaduni na michezo wilayani humo wajipange hasa ili kutoa japo mchezaji mmojatu wakushiriki ligi kuu labda watakua na hamasa watakaobaki. Hawa vijana kwa uchezaji huu hawatafika popote.
Kaazi kwelikweli!

No comments:
Post a Comment