TBL yatema vifaa Simba, Yanga Leo.
Afisa Habari wa
Yanga, Louis Alphonce Sendeu (kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey
Nyange ‘Kaburu’ (kulia), wakionesha baadhi ya vifaa vya michezo
walivyokabidhiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambao ndio wadhamini wakuu
wa klabu hizo. Wa pili kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe
na Mkurugenzi wa Mashindano, Saad Kawemba. Kwenye hafla iliyofanyika katika
ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jijini Dar es salaam leo.
Makamu Mwenyekiti
wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ akizungumza katika hafla hiyo.

No comments:
Post a Comment