BOMOA BOMOA JIJINI DAR, YAIKUMBA ENEO LA ANANASIFU KINONDONI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, October 5, 2012

BOMOA BOMOA JIJINI DAR, YAIKUMBA ENEO LA ANANASIFU KINONDONI.

Askari wa Jeshi la Polisi kikosi Cha kutuliza Ghasia wakiimarisha ulinzi kwenye eneo la Ananasifu Kinondoni wakati wa zoezi la bomoabomoa lililondeshwa jijini Dar es Salaam leo, kwa madai yakujengwa maeneo hatarishi, ambapo mamia ya watu wanatarajiwa kukosa mahala pakuishi.
Baadhi ya wakazi wa eneo la hilo la Ananasifu wakiokoa bati za nyumba zao baada ya operesheni hiyo kuanza. Eneo la Ananasifu ni miongoni mwa maeneo ambayo yalikumbwa na mafuriko na watu kukosa mahala pakukaa na kulazimika kuishi kwenye majengo ya shule hadi maji yalipopungua ndipo waliporudi kwenye nyumba hizo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here