ALIYEKUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA MAREHEMU BARLOW AAGWA NA MAELFU UWANJA WA MICHEZO NYAMAGANA LEO - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, October 15, 2012

ALIYEKUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA MAREHEMU BARLOW AAGWA NA MAELFU UWANJA WA MICHEZO NYAMAGANA LEO

Jeneza la Mwili wa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow likiwa kwenye eneo maalum kwaajili ya kuagwa likitokea kwenye Hospitali ya Bugando na kiwekwa hapo kwenye uwanja wa michezo wa Nyamagana baadaye kwenda nyumbani kwake kisha uwanja wa Nyamagana ambapo ibada ya kuuaga mwili huo imefanyika.Mwili wa marehemu Barlow umesafirishwa jana jioni kuelekea nyumbani kwake Ukonga jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuagwa na ndugu na jamaa zake kabla ya kusafirishwa kwenda kijijini kwake Koro wilaya ya Moshi vijijini kwa ajili ya mazishi.
 DCI Robert Manumba akiaga mwili huo
Ndugu na jamaa wa marehemu wakiwa kwenye eneo maalum.
Askari wakiliweka vizuri jeneza la mwili wa marehemu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here