MBUNGE WA VITI MAALUM CCM ALIYEPATA AJALI HUYU HAPA, Yupo Hospitalini, aendelea vizuri. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, October 3, 2012

MBUNGE WA VITI MAALUM CCM ALIYEPATA AJALI HUYU HAPA, Yupo Hospitalini, aendelea vizuri.

Mbunge wa viti maalum CCM Mkoani Mbeya Mery Mwanjelwa akiwa Hospitalini mara baada ya kupata ajali baada ya garilake kugongwa kwenye ajali iliyohusisha gari nne baada ya Lory kushindwa kusimama na kuzigonga gari hiozo ambapo watu 10 walikufa papohapo na 20 kujeruhiwa.
Hali ilivuokuwa baada ya ajali hiyo iliyotokea eneo la Mbalizi Mkoani humo
Sehemu ya Mbele ya moja ya magari kwenye ajali hiyo!
Moto ukiteketeza baadhi ya magari hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here