SEND OFF YA WINNIFRIDA MAGANGA YAFANA - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, October 1, 2012

SEND OFF YA WINNIFRIDA MAGANGA YAFANA

Winnifrida Maganga Bi harusi mtarajiwa akiwa na Bwn harusi mtarajiwa, Deus Kessy aliyekuja Tanzania kutoka kwenye Send Off party ya Mkewe mtarajiwa iliyofanyika Lanham, Maryland Jumamosi Sept 29, 2012. Harusi itafanyikia Arusha Tanzania
Bi Harusi mtarajiwa na mpambe wake pamoja na ndugu, jamaa na marafiki walioambatana nae wakiwasili na Limo
Wazazi wa Bi harusi mtarajiwa Brigedia Jenerali Emmanuel Maganga na Mkewe Love Maganga
Bi Harusi mtarajiwa na mpambe wake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here