UNALIFAHAMU VAZI LA ABAYA? SOMA HII. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, October 7, 2012

UNALIFAHAMU VAZI LA ABAYA? SOMA HII.

Jamillah looks sexy and descent XXXXXXXXXX **** Fashionistas, visitors and residents of Dar, who enjoy seeing the
latest trends in the catwalk, may want to head to Abaya Fashion Show Luncheon  event itakayofanyika  Ijumaa ijayo, Octoba 12 pale Red Onion, Haidery Plaza.

Running from 3pm to 6pm, the fashion show promises "stunning designs and beautiful creations". Anyone who wants to see the fashion items on display will find them on the fashion catwalk utaziona hapo siku hiyo and you can purchase from the runway......

Exhibitions and entertainment kutoka kwa B52  na Belly Dancers
watakuwepo, kiingilio ni sh elfu 25 tu food inclusive.

Dress Code ni Hijjab, Wear it Your Way!!!!!!!!!!!!!!!!
Color combo pia itaruhusiwa ili mradi tu hijjab ihusike
Mbona shwari tu, juu ya kisuti chako piga mtandio kimtindo kama huyu mwenzetu
Kwa wale wasioweza kuacha kuvaa skin jeans every friday watatoka kihiviiiiiii.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here