WANANCHI WASIFU STRABAG KWA VIFAA BORA VYA UJENZI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, October 9, 2012

WANANCHI WASIFU STRABAG KWA VIFAA BORA VYA UJENZI.

Kutokana na utumiaji wa vifaa vya ujenzi vya kisasa kwenye ujenzi wa barabara ya mradi wa mabasi yaendayo haraka kwenye barabara ya Morogoro wananchi wamesifu vifaa wanavyotumia kwani vinawarahisishia kazi na kuzifanya ziende kwa haraka. Wananchi walikuwa wakishudiwa ukwanguaji wa lami ya zamani na kuipakiza kwenye magari bila kuleta usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
Kazi ya ukwanguaji wa lami ya zamani ikiendelea kwenye eneo la Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam jioni hii.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here