BALOZI MDOGO WA MSUMBIJI ANAEISHI ZANZIBAR AMUAGA RAIS. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, December 20, 2012

BALOZI MDOGO WA MSUMBIJI ANAEISHI ZANZIBAR AMUAGA RAIS.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Mdogo wa
Msumbiji aliyepo Zanzibar  Bernado Contantino Lidimba, alipofika Ikulu Mjii Zanzibar kumuaga Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi Mdogo wa
Msumbiji aliyepo Zanzibar  Bernado Contantino Lidimba,alipofika Ikulu Mjii Zanzibar kumuaga Rais.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here