KAMATI KUU YA TAIFA SENSA YA WATU NA MAKAZI YAKUTANA JIJINI DAR LEO. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, December 29, 2012

KAMATI KUU YA TAIFA SENSA YA WATU NA MAKAZI YAKUTANA JIJINI DAR LEO.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Dr. Kahlid Salum Mohd  akiwa makini katika majadiliano ndani ya kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi kilichofanyika kwenye ukumbi  wa Mikutano wa Ofisi ya  Waziri Mkuu Mjini Dar es salaamu.
Mwenyekiti Mwenza wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikiongoza Kikao cha Kumi cha Kamati hiyo Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha wa na Uchumi Dr. William Mgimwa, na mwenzake anayesimamia Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo wa SMZ Mh. Omar Yussuf Mzee ambao ni wajumbe wa   kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya watu na makazi wakiendelea na majadiliano  Mjini Dar es salaamu.
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya watu na makazi wakijumuika katika mijadala tofauti ya kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi ya Waziri Mkuu Mjini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here