MAPOKEZI YA KIHISTORIA ARUSHA AFANYIWA LEMA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, December 22, 2012

MAPOKEZI YA KIHISTORIA ARUSHA AFANYIWA LEMA.

MAPOKEZI ya Kihistoria katika jiji la Arusha yamefanyika leo wakati wafuasi,   Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema walipo miminika kwa Wingi kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) hadi katika Viwanja vya Kilombero mjini hapa alipohutumia maelfu ya wana CHADEMA Arusha Mjini.

Mapokezi yahoo yamefanyika wakati Godbless Lema alipokuwa akirejea mjini Arusha akitokea jijini Dar es Salaam kusikiliza hukumu ya Rufani ya Keshi yake ya Kuvuliwa Ubunge iliyotolewa maamuzi ya kumrtejeshea Ubunge wake Desemba 21,2012.

Maelfu ya wananchi wakiwa katika msafara mrefu zaidi ya pikipiki 500 na magari ulianzia Uwanja wa Ndege KIA mara baada ya Mbunge huyo kuwasili uwanjanai hapo majira ya saa 4:20 Asubuhi.
Wafuasi wa Lema wakishangilia barabarani wakati Mbunge huyo akipita.

Skafu ziliuzwa.
Duh! kaaazi kweli kweli!
Mke wa Mbunge Godbless Lema akiwa kwenye gari pamoja na mtoto wao wakati wa mapokezi hayo.

Hiyo ndiyo siasa! Picha kwa hisani ya Fadha Kidevu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here