RAIS MSTAAFU WA TANZANIA BENJAMINI MKAPA AENDA KUMUONA PADRI ALIYEPIGWA RISASI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, December 30, 2012

RAIS MSTAAFU WA TANZANIA BENJAMINI MKAPA AENDA KUMUONA PADRI ALIYEPIGWA RISASI.

Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Bendjamini William Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa akimuelekeza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kupita katika Wodi kumuona Kiongozi wa Parokia ya Mpendae Padre Ambrose Mkenda aliyelazwa kwenye Hospitali ya Muhimbili akipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa kwa risasi hivi karibuni.
Kiongozi wa Parokia ya Mpendae Padre Ambrose Mkenda akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif mkasa uliomkumba baada ya kushambuliwa kwa risasi hivi karibuni  katika eneo la Tomondo na kujeruhiwa taya zake.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here