STARS YAPIGA MABINGWA WA AFRIKA GOLI MOJA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, December 22, 2012

STARS YAPIGA MABINGWA WA AFRIKA GOLI MOJA.

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars wakimpongezi mfungaji wa bao la pekee Mrisho Ngasa, kwenye mchezo wa kirafiki kati ya ya timu hiyo na timu ya taifa ya Zambia (Chipolopolo) kwenye mchezo uliomalizika hivi punde.
Mchezaji Kiungo wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mwinyi Kazimoto (Fundi) akimtoka beki wa Timu ya Taifa ya Zambia kabla ya kumpa pasi Mrisho Ngasa na kusukumiza shuti kali kwenye lango la timu hiyo na kuipatia taifa Stars na kuibuka washindi kwa goli hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here