TRELA LA LORY LATEKETEA KWA MOTO MCHANA HUU. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, December 29, 2012

TRELA LA LORY LATEKETEA KWA MOTO MCHANA HUU.

Trela la lori lililokuwa limebeba mafuta likiteketea kwa moto mchana huu eneo la Kibamba Darajani jijini Dar es Salaam.haijafahamika mara moja chanzo kutokea kwa moto huo.
Kushoto ni baadhi ya wananchi wa eneo hilo lakIbamba wakishudia Trela la Roli likiteketea kwa moto.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here