BALOZI WA MAREKANI NCHINI AKUTANA NA DK. SHEIN. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, January 23, 2013

BALOZI WA MAREKANI NCHINI AKUTANA NA DK. SHEIN.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here