KLABU BINGWA NDONDI YAANZA LEO JIJINI DAR. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, January 30, 2013

KLABU BINGWA NDONDI YAANZA LEO JIJINI DAR.

Bondia Selemani Kidunda wa Klabu ya ngome ambaye aliwakilisha Tanzania katika mashindano ya Olimpic yaliyofanyika London mwaka jana akipima uzito, jijini Dar es salaam kwa ajili ya mashindano ya Klabu bingwa yanayoanza leo katika uwanja wa ndani wa taifa.
Bondia Abdallah Shamte wa Klabu ya Ashanti ya Ilala akipima uzito kwa ajili ya mashindano ya Klabu Bingwa yatakayoanza leo katika uwanja wa ndani wa Taifa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here