TAHADHARI YA TOLEWA KUHUSU KIMBUNGA NA MVUA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, January 30, 2013

TAHADHARI YA TOLEWA KUHUSU KIMBUNGA NA MVUA.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, TMA, inauhadharisha umma kuhusu hatari ya uwezekano wa kuwepo kwa mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo nchini kutokana na kimbunga “FELLENG”.

Baadhi ya maeneo ya mikoa ya Rukwa, Iringa, Mbeya, Njombe, Ruvuma, Morogoro, Pwani, Lindi, Mtwara na maeneo jirani ya mikoa hiyo huenda yakapatwa na mvua kubwa (zaidi ya milimita 50 katika kipindi cha saa 24 kila siku) kati ya tarehe 30 Januari, 2013 hadi 01 Februari, 2013.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here