Mmoja wa mashabiki wa fani ya unenguaji kulia akimpingia makofi baada
ya kumtunza Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama'
ambaye anaonekana akifanya vibwanga vyake wakati wa maonesho
ya bendi ya Mashauzi Classic katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es
salaam
Unamanenoooooooooooo?
Mnenguaji
Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' akifanya vitu vyake
mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Isha Ramadhani wakati
bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment