JIMBO LA KWA MTIPURA ZANZIBAR LAPATA NEEMA LEO. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, February 2, 2013

JIMBO LA KWA MTIPURA ZANZIBAR LAPATA NEEMA LEO.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi (kulia)akimkabidhi mifuko 20 ya Saruji Mwakilishi wa Jimbo la Kwmtipura Mh. Hamza Hassan Juma kwa ajili ya uendelezaji ujenzi wa Matawi ya Chama hicho yaliyomo ndani ya Jimbo hilo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Magodoro Matano Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Mh. Hamza Hassan Juma kwa ajili ya Hospitali ya Jimbo hilo iliyopo Mikunguni Mjini Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Mh.Hamza Hassan Juma akipokea msaada wa Vitanda 12 kwa ajili ya Hospitali ya Jimbo la Kamtipura ili kuongezewa nguvu ya utoaji huduma Hospitali hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here