MASHINDANO YA KLABU BINGWA YA NGUMI KATIKA PICHA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, February 2, 2013

MASHINDANO YA KLABU BINGWA YA NGUMI KATIKA PICHA.


Bondia Selemani Kidunda wa Ngome (kulia) akimuadhibu Mohamedi Chibumbui wa Magereza wakati wa mashindano ya Klabu bingwa yaliyofanyika uwanja wa ndani wa taifa Kidunda alishinda kwa K,O raundi ya kwanza na kuzima ngebe za Chibumbui na kusababisha kumpoteza fahamu kwa takribani dakika 4 ambazo alikuwa akipewa huduma ya kwanza ulingoni alipodondoka baada ya kupata makonde yenye kilo nzito.
Mabondia Kombe Ally wa Ruaha Galax akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Said Hofu wa JKT Makao Makuu wakati wa mashindano ya Klabu Bingwa yaliyofanyika uwanja wa Ndani wa Taifa.
Bondia Wambura Amir (kushoto) akipasha misuli moto.
Bondia Mohamedi Chibumbui kushoto akitafuta mbinu ya kumkepa bondia Selemani Kidunda wakati wa mashindano ya klabi bingwa ya Masumbwi Kidunda alishinda K,o raundi ya kwanza
Bondia Selemani Kidunda wa Ngome (kushoto) akipigwa konde na Mohamed Chibumbui wa Magereza wakati wa mpambano wa Klabu bingwa Kidunda alishinda kwa K,O raundi ya kwanza
Bondia Selemani Kidunda wa Ngome kushoto akipigwa konde na Mohamed Chibumbui wa Magereza wakati wa mpambano wa Klabu bingwa Kidunda alishinda kwa K,O raundi ya kwanza.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here