![]() |
| Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akijaza Fomu Maalum ya kuomba uanachama wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. |
![]() |
| Balozi Seif Ali Iddi akiwa kwenye picha ya pamoja na Timu ya Uongozi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) uliofika Ofisini kwake Vuga kumsajili rasmi kuwa mwanachama wa mfuko huo. |




No comments:
Post a Comment