Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Alexandre Leveque, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
|
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Cuba nchini Tanzania Jorge Luis Lopes,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana
|
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Cuba nchini Tanzania Jorge Luis Lopes, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
|
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Canada nchini Tanzania Alexandre Leveque, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
|

No comments:
Post a Comment