Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akifungua pazia kufungua madarasa mapya kusomea ya Skuli ya
Msingi ya Ole, Jimbo la Ole Mkoa wa Kaskazini Pemba jana, akiwa katika
ziara ya kikazi katika Mkoa huo.
Akikagua madarasa.
Wasoma utenzi.
Baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Ole,Jimbo la Ole Mkoa wa
Kaskazini Pemba,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao baada ya
kufungua madarasa mapya ya kusomea Skulini hapo jana,akiwa katika
ziara ya kikazi ndani ya Mkoa huo.
No comments:
Post a Comment