Mmiliki wa Hoteli ya Pack Zanzibar Kikaangoni! - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, March 20, 2013

Mmiliki wa Hoteli ya Pack Zanzibar Kikaangoni!

Mkurugenzi Mkuu wa Mmlaka wa Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd. Said Sarboko Makarani akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  jinsi mmiliki wa Hoteli ya Pack iliyopo Kinu cha Taa Malindi anayeendeleza ujenzi  eneo la pembezoni mwa Hoteli yake licha ya kupewa barua ya kusitisha ujenzi huo na mamlaka hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiuagiza Uongozi wa Mamlaka ya Mji Mkongwe wa Zanzibar pamoja na Idara ya Ardhi na Mipango Miji kumwita Mmiliki wa Hoteli ya Pack iliyopo Kinu cha Malindi anayejenga eneo la wazi mbele ya hoteli hiyo bila ya idhini ya Mamlaka hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here