WABUNGE WATWANGANA WAKATI WA MDAHALO KWENYE TV SHOW! - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, March 3, 2013

WABUNGE WATWANGANA WAKATI WA MDAHALO KWENYE TV SHOW!

Wabunge wawili wapigana makonde wakati wa kipindi cha mdahalo kwenye runinga ya kitaifa huku Georgia.
Huko Lebanon wabunge wengine wawili pia wamerushiana glasi za maji na baadae kupigana ngumi vilevile wakati wa mdahalo kwenye Televisheni. Hii ni baada ya wabunge hao kuhitalafiana kuhusu vita vinavyoendelea nchini Syria baina ya waasi na serikali ya Rais Basher al Assad.Bbc.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here