| Mazoezi ni afya. |
| Dawa ya kuachana na ubonge nyanya! |
| Rika zote wamejumuika pamoja. |
| Michezo mbalimbali ukiwemo huu wakuchezea baiskeli pia upo! |
| Wacha banaweee manjonjo tupu! iga uone! |
| Mashost nao! Ubonge baaaaaaasssss! |
| Bila kusahau ndonga, nazo zilikuwepo mapema asubuhi ya leo. Hii ni kwasababu Klabu ya Mzimuni ni Jogging and Sports. |
| Kikosi cha Zanzibar ambacho kilipambana na Mzimuni na kuifunga goli moja bila. |
| Picha ya pamoja vikosi vyote viwili Mzimuni na Zanzibar. |
| Kikosi kamili cha Mzimuni. |
| Acha uvivu fanya mazoezi baadhi ya nyimbo zilisikika. |
| Safari ilikuwa ndefu sana na sasa wanarejea! |
| Mpira wa pete vijana wa Temeke (orange) wakipambana na vijana wa Zanzibar ambapo Temeke waliibuka kidedea kwa ushindi mnono. |

No comments:
Post a Comment