WASANII wachekeshaji
wa kundi maarufu nchini la Orijino Komedi, wanatarajia kufanya tamasha kubwa Kanda
ya ziwa lililoandaliwa na Kampuni ya Tigo lijulikanalo kwa jina la Welcome Pack.
Tamasha hilo linalowapa wananchi fursa ya kina kuhusu huduma mbalimbali
zitolewazo na kampuni hiyo litafanyika jijini Mwanza Jumamosi hii. Mbali na
kundi hilo wasanii wa Hiphop Farid Kubanda Fid Q, Young Killer na Hamisi
Mwinjuma Mwana FA, watatumbuiza pia kwenye tamasha hilo. Kutoka kushoto, Wakuvwanga, Joti na Masanja.
|
No comments:
Post a Comment