MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR! - RAHA ZA PWANI
Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 12, 2015

MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR!

Responsive Ads Here
IMG_8743
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbeke ya Mgeni Rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa Mwendo wa Pole pole  katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi  ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan Studium  leo.
IMG_8764
Viongozi mbalimbali waliohudhuria sherehe hizo.
IMG_8768
Askari wa Kikosi cha Mafunzo SMZ  wakipita mbele ya Mgeni Rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa Mwendo wa Pole pole katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan leo.
IMG_8786
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Bendera wakitoa salamu ya Gwaride la mwendo wa haraka kwa  Mgeni Rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan  leo.
IMG_8802
Askari wa Jeshi la Polisi  Tanzania Kikosi cha FFU  wakitoa salamu ya Gwaride la mwendo wa haraka kwa  Mgeni Rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan leo.
IMG_8831
Askari wa Jeshi la wanamaji Zanzibar Kikosi  cha KMKM  wakitoa salamu ya Gwaride la mwendo wa haraka kwa  Mgeni Rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan  leo.
IMG_8870

IMG_8980
Wasanii wa kutoka Gairo Mkoa wa Morogoro wakitoa burudani kwa ngoma ya Mtunya wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kabla ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kutoa hutuba yake katika sherehe hizo zilizofanyika jana Uwanja wa Amaan  Mjini Unguja

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad