| Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akishuka kwenye ndege mara tu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Singida. |
| Mh. Mohammed Dewji akisalimiana na Katibu wa CCM wilaya ya Singida mjini, Magdalena Ndweta. |
| Mh. Mohammed Dewji akisalimiana na Katibu ambaye pia ni Mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya Singida mjini, Duda Juma. |
| Mwanamuziki wa kimataifa nchini, Diamond Platnumz akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya Singida, Jumanne Hamis Nguli. |
| Umati wa watoto wanaoishi karibu na maeneo ya uwanja wa ndege wa Singida mjini wakiwa wamefurika kwenye uwanja huo kumpokea mbunge wao. |
Pichani juu na chini watoto na vijana wakimfurahia Mbunge wao Mh. Mohammed Dewji.
| Diamond Platnumz akigombaniwa na wakazi wa Singida mara tu baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Singida. |
| Mwanamuziki wa kimataifa Diamond Platnumz, Rommy Jones pamoja na mlinzi wake wakielekea kwenye gari maalum mara tu baada ya kuwasili. |
| Wananchi wa Singida mjini wakimsindikiza Mbunge wao Mh. Mohammed Dewji. |
| Singida Oyeeeeeeee!!! |

No comments:
Post a Comment