| Wafuasi wa CCM wakishuhudia mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho kwenye viwanja vya jangwani leo jijini Dar es Salaa. |
| Mbanano ulikuwa ni mkubwa kwa wafuasi hao wakati kila mmoja akitaka kukaa eneo la karibu na viongozi wa chama hicho uku walinzi wa chama na jeshi la polisi wakiwadhibiti vilivyo. |
| Walinzi wa chama cha mapinduzi Green Guard wakiwadhibiti wafuasi wa chama hicho waliotaka kusogelea eneo la karibu na Jukwaa kuu. |
| Fimbo Oyeeeeeeeee, Kada wa CCM, Mtoto wa hayati Baba wa Taifa Julius Nyere, Makongoro Nyerere, akifanya vituko vyake. |
| Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, akiwahutubia wafuasi hao wa ccm. |
| Rais Kikwete (katikati) akiwapigia makofi Dk.John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Samia Suluu Hassan mara baada ya kuwakabidhi ilani ya chama hicho wakati wa mkutano wao wa hadhara. |

No comments:
Post a Comment