DAKTA SALMIN AMOOR AFANYA DUA NYUMBANI KWAKE. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, January 1, 2016

DAKTA SALMIN AMOOR AFANYA DUA NYUMBANI KWAKE.

Rais Mstahafu wa Tanzania Mzee Ali Haasn Mwinyi (wapili kutoka Kushoto) akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (wakwanza kutoka kushoto) wakijumuika na waislamu katika Hitma ya Kuwaombea Dua Waumini waliotangulia mbele ya haki kwenye msikiti wa Ijumaa Kidombo Kijijini kwa Rais Mstahafu wa Zanzibar Awamu ya Tano Dr. Samlin Amour.
Waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka sehemu mbali mbali Zanzibar wakihitimisha Hitma ya kuwaombea waislamu walitangulia mbele ya haki kwenye Msikiti wa Ijumaa Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja Kijijini alipozaliwa Rais Mstahafu wa Zanzibar Dr. Salmin Amour.
Rais Mstahafu wa Zanzibar Awamu ya Tano Dr. Salmin Amour (katikati) akibadilishana mawazo na Makamu wa Rais Mstahafu wa Tanzania Dr. Moh’d Gharib Bilal (kushoto) na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi nyumbani kwake Kidombo mara baaya ya chakula cha mchana.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here