| Vijana wa Kichina wakijumuika na vijana wa Kitanzania kwenye onyesho la mavazi wakati wa sherehe hizo. |
| Wasanii kutoka nchini China wakicheza Dansi ya Ndoto ya Maua. |
| Waziri Nape akichezesha Bahatinasibu kwenye hafla hiyo. |
| Ma MC wakisherehesha kwa lugha za Kichina na Kiswahili. |

No comments:
Post a Comment