Unilever yaendelea kuwazawadia wanafunzi shule mbambali Dar. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, February 3, 2016

Unilever yaendelea kuwazawadia wanafunzi shule mbambali Dar.

Mwanafunzi wa darasa la tano wa shule ya msingi Maarifa, Gongolamboto, jijini Dar es Salaam  Ester Lawrence akipokea fulana kutoka kwa Balozi wa Blue Band Neema Upendo shuleni hapo jana akiwa ni mmoja wa washindi wa shindano la Blue Band ‘Kula Tano’ linalowamasisha wanafunzi kutambua umuhimu wa kula vyakula vyenye virutubisho. Kushoto ni mwalimu wa michezo Edith Katundu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here