Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kulia), akizungumza na wajumbe wa baraza la ardhi wa wilaya hiyo Dar es Salaam juzi, wakati wakipeana mikakati ya kazi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya migogoro ya ardhi.
Mkutano ukiendelea.
DC Sophia Mjema (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa mstaafu wa Dar es Salaam, mama Mary Chipungahelo (kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Edward Mpogolo.
DC Mjema akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza hilo.
No comments:
Post a Comment