Rais John Magufuli (mwenye miwani) akiangalia mfumo wa usindikaji matunda baada ya kuzindua kiwanda cha kusindika matunda cha Said Salim Bakhressa, kilichopo Kijiji cha Mwandege mkoani Pwani leo. |
Rais Magufuli akitembea maeneo mbalimbali yakiwanda. |
Rais akisikiliza aelezo ya utendaji kazi wa kiwanda hicho mara baada ya kukizindua. |
No comments:
Post a Comment